Episode Details
Back to EpisodesTaarifa ya Habari 29 Oktoba 2024
Published 1 year, 8 months ago
Description
Faini kwa watoa huduma wa NDIS wasio waaaminifu zita ongezeka kutoka $400,000 hadi zaidi ya $15 milioni, chini ya kanuni mpya zilizo zinduliwa na Bill Shorten jana Jumatatu 28 Oktoba 2024.