Podcast Episodes
Back to SearchLydia "ukiwa Africultures nikama umetembea Afrika nzima"
Maelfu ya wa Australia wenye asili ya Afrika, kwa mwaka mwingine wali jumuika katika viwanja vya Sydney Olympic Park kuhudhuria tamasha ya Africultur…
1 year, 9 months ago
Taarifa ya Habari 4 Oktoba 2024
Idara ya Afya ya New South Wales ina wahamasisha watu wanao stahiki wapate dozi zao mbili za chanjo za mpox sasa hivi, wasiwasi unapo endelea kuwa ku…
1 year, 9 months ago
Jinsi yakupata mkopo wa kununua nyumba Australia
Kununua nyumba kawaida ni moja ya ununuzi mkubwa katika maisha ya mtu.
1 year, 9 months ago
Taarifa ya habari 1 Oktoba 2024
Waangalizi wa watumiaji wa Australia wanatarajiwa kupokea jeki ya dola milioni 30, kuchukua hatua kwa matendo ya kuongeza bei kutoka kwa maduka makub…
1 year, 9 months ago
Francis "Openmaps Global Study imeziba pengo katika utoaji wa elimu ya juu Australia"
Sekta ya elimu ya juu nchini Australia, ina thamani yama bilioni ya dola.
1 year, 9 months ago
Taarifa ya Habari 20 Septemba 2024
Mswada wa serikali ya shirikisho waku ongeza malipo ya uzeeni katika likizo ya wazazi yenye malipo ime idhinishwa na bunge.
1 year, 9 months ago
Prof Chacha "kuendelea kuahirisha uchaguzi hakuta leta amani au mafanikio Sudan Kusini"
Kwa mara nyingine uchaguzi mkuu wa Sudan Kusini ume ahirishwa hadi Disemba 2026.
1 year, 9 months ago
Francis "wakati wakubadilisha shule ni sasa"
Idadi ya wanafunzi wakimataifa itapunguzwa mwaka ujao, serikali inapojaribu kupunguza uhamiaji wa ng’ambo.
1 year, 9 months ago
Taarifa ya Habari 17 Septemba 2024
Mwanaume anaye shukiwa kuhusika katika jaribio laku muuwa Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump, amefunguliwa mashtaka ya uhalifu wakutumia bunduki.
1 year, 9 months ago
Kinyua "karibuni tusherehekee uafrika wetu kupitia soka ACT"
Wanachama wa jumuiya yawa Afrika wanao ishi Canberra, ACT wanajiandaa kushiriki katika kombe la Afrika kesho Jumamosi 14 Septemba 2024.
1 year, 9 months ago