Podcast Episodes

Back to Search
#3 Kuzungumza kuhusu asili zakitamaduni| Jan 26 (Australia Day)

Jifunze jinsi yakuzungumza kuhusu historia ya utamaduni wako. Pia jua kwa nini Australia Day inaendelea kuwa siku ya maandamano kwa wa Australia wa k…

1 year, 10 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 23 Agosti 2024

Mamlaka yasiyo ya kawaida yanayo ruhusu jeshi la polisi, kusimamisha ghafla nakufanya msako kwa watu jimboni Queensland yame ongezwa.

1 year, 10 months ago

Short Long
View Episode
Mali yaishtumu Ukraine kwa kuhusika katika shambulio nchini humo

Mgogoro wakidiplomasia ume zuka kati ya Mali na Ukraine baada ya viongozi wa taifa hilo la Magharibi Afrika, kuishtumu taifa hiyo ya Mashariki ya Ula…

1 year, 10 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 22 Agosti 2024

Wazazi wapya hivi karibuni wataweza anza pokea malipo yao ya uzeeni juu ya malipo ya likizo ya wazazi yanayo wekezwa na serikali, sheria ziki tarajiw…

1 year, 10 months ago

Short Long
View Episode
#66 Maswali yaku uliza unapo tazama nyumba unayo taka kodi

Jifunze jinsi yaku uliza maswali, unapo tazama nyumba unayo tarajia ku kodi.

1 year, 10 months ago

Short Long
View Episode
Aina mpya ya kirusi cha mpox chatambuliwa Pakistan, umakini wa himizwa na hatua ziongezwe

Kesi mpya ya kirusi cha mpox imeripotiwa nchini Pakistan, baada ya kesi kama hiyo kuripotiwa nchini Sweden.

1 year, 10 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 20 Agosti 2024

Kiongozi wa chama cha Greens Adam Bandt amesema utafiti mpya ulio agizwa na chama chake una onesha kuwa wa Australia wanao fanya kazi za kawaida hawa…

1 year, 10 months ago

Short Long
View Episode
Nzovu "Miaka ishirini inapita na kabila la Wanyamurenge bado halijapata haki yao"

Usiku wa 13 Agosti 2004 takriban watu 166 wali uawa kikatili, na mamia kujeruhiwa ndani ya kambi ya wakimbizi ya Gatumba, Burundi.

1 year, 10 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 16 Agosti 2024

Kiongozi wa upinzani Peter Dutton ame shtumiwa kwa ubaguzi na kuchochea mgawanyiko na baadhi ya wabunge ambao wame kosoa wito waku wazuia wa Palestin…

1 year, 10 months ago

Short Long
View Episode
Mtoto wako ananyanyaswa shuleni au mtandaoni? Hatua muhimu unastahili chukua

Kutoa mazingira salama na jumuishi ni dhamira ya msingi ya kila jumuiya ya shule ya Australia.

1 year, 10 months ago

Short Long
View Episode

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us