Episode Details
Back to EpisodesJinsi AI ilivyo athiri chaguzi kubwa duniani
Published 1 year, 4 months ago
Description
Tuna jiandaa kwa uchaguzi wa shirikisho. Hivi karibuni, wa Australia wata elekea katika vituo vya kupiga kura kuwachagua viongozi wetu wapya.