Podcast Episodes

Back to Search
Kisimba "tuta furahi sana kuona Icon wetu hapa Sydney"

Mfalme wa muziki wa DR Congo Koffi Olomide ame anza ziara ya tamasha Australia.

1 year, 10 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 13 Agosti 2024

Viongozi wa Marekani na Uingereza wanaweza jiondoa katika makubaliano ya manowari yaliyofanywa na Australia chini ya mpangilio wa AUKUS, kwa kutoa on…

1 year, 10 months ago

Short Long
View Episode
Sababu nzuri zaku tii sheria za watembeaji wa miguu

Kila siku, watu wanao tembea kwa miguu kote nchini Australia huvunja sheria bila kujua. Hali hii inaweza sababisha adhabu, na wakati mwingine inaweza…

1 year, 10 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 9 Agosti 2024

Kiongozi wa upinzani Peter Dutton amesema chama chake kina endelea ku unga mkono makubaliano ya AUKUS, yaliyo tiwa saini chini ya serikali ya Morriso…

1 year, 11 months ago

Short Long
View Episode
Sekta ya vyuo yadai wanafunzi wakimataifa wanatumiwa kama "mpira" wakisiasa

Vyuo na biashara vina fanya kampeni ya ushawishi dhidi ya sheria zenye utata, kuweka idadi ya wanafunzi wa kimataifa kuanzia mwaka ujao.

1 year, 11 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 8 Agosti 2024

Wafanyakazi wa huduma ya malezi ya watoto kote nchini Australia, wana tarajiwa kuongezewa mishahara, iwapo sehemu zao za kazi zita kubali kuto ongeza…

1 year, 11 months ago

Short Long
View Episode
Amedee "tunatoa mafunzo na uelewa kwa yaliyo fanyika Rwanda 1994"

Onesho la hadithi za wahanga wa mauaji ya 1994 nchini Rwanda, lime zinduliwa katika jumba la sanaa mjini Sydney, Australia.

1 year, 11 months ago

Short Long
View Episode
Kuelewa mfumo wa sheria wa Australia: sheria, mahakama na msaada wakisheria

Mfumo wa sheria wa Australia ni mfumo changamano ulio undwa kudumisha utaratibu, kuhakikisha nakulinda haki za raia wake.

1 year, 11 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 6 Agosti 2024

Australia imeongeza kiwango cha tisho la ugaidi kitaifa kutoka uwezekano hadi kuwezekana. Serikali imesema kuongezeka kwa itikadi kali katika wigo wa…

1 year, 11 months ago

Short Long
View Episode
Kiwango cha tisho la ugaidi cha ongezwa kutoka "uwezekano" hadi "kuwezekana"

Kiwango cha tisho la ugaidi cha Australia kime ongezwa kwa mara ya kwanza katika muongo.

1 year, 11 months ago

Short Long
View Episode

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us