Podcast Episodes
Back to SearchTaarifa ya Habari 5 Julai 2024
Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema muda ambao Seneta Fatima Payman amefanya tangazo lake lakujiuzulu kutoka chama cha Labor ni swala linalo mhusu.
2 years ago
Phylis "naomba wakenya wadumishe amani na viongozi wasikize maoni yetu"
Maandamano ya vijana yanayo endelea Kenya, yame zua hisia mseto katika jamii.
2 years ago
Kinyua "tumekuja kuomboleza walio uawa katika maandamano Kenya"
Wakenya wanao ishi Canberra, Australia walijumuika mbele ya ubalozi wa nchi yao kuonesha mshikamano na vijana wenzao.
2 years ago
Taarifa ya Habari 28 Juni 2024
Vyama vya wafanyakazi wanaunga mkono haki ya wabunge wa chama cha Labor kuvuka sakafu na kupiga kura dhidi ya msimamo wa chama, wakisema hatua hiyo i…
2 years ago
Indigenous art: Connection to Country and a window to the past - Sanaa ya watu wa Asili: Muunganisho wa Nchi na dirisha kwa siku za nyuma
Embracing their oral traditions, Aboriginal and Torres Strait Islander peoples have used art as a medium to pass down their cultural stories, spiritu…
2 years ago
Taarifa ya Habari 27 Juni 2024
Mbunge wa chama cha Liberal Simon Birmingham amesema amefurahi kuona masaibu yakisheria ya Julian Assange yame isha ila, ilikuwa makosa kwa waziri mk…
2 years ago
Makena "Viongozi wetu wajifunze kwa yaliyo fanyika Sri Lanka"
Maandamano dhidi ya muswada wa fedha wa 2024 nchini Kenya hatimae yamefika Australia.
2 years ago
Taarifa ya habari 25 Juni 2024
Baadhi ya wabunge huru wanataka makaazi yawekwe kuwa haki ya msingi ya binadamu nchini Australia.
2 years ago
Wahitimu wamatibabu wakimataifa wa elezea kero za sifa zao kutambuliwa Australia
Takwimu mpya zina onesha ongezeko kwa idadi yama daktari, wauguzi na wataalamu wa afya wanao fanya kazi katika mifumo ya huduma ya afya nchini Austra…
2 years ago
Taarifa ya Habari 21 Juni 2024
Australia ime ahidi kuendelea kuwasaidia wakaaji wa Papua New Guinea ambao wanapitia wakati mgumu kumudu maisha baada ya kukabiliwa kwa maporomoko ma…
2 years ago