Episode Details
Back to EpisodesTaarifa ya Habari 27 Juni 2024
Published 2 years ago
Description
Mbunge wa chama cha Liberal Simon Birmingham amesema amefurahi kuona masaibu yakisheria ya Julian Assange yame isha ila, ilikuwa makosa kwa waziri mkuu kumpigia simu Bw Assange akimkaribisha nyumbani.