Episode Details
Back to EpisodesTaarifa ya Habari 28 Juni 2024
Published 2 years ago
Description
Vyama vya wafanyakazi wanaunga mkono haki ya wabunge wa chama cha Labor kuvuka sakafu na kupiga kura dhidi ya msimamo wa chama, wakisema hatua hiyo ina imarisha vuguvugu la Labor.