Podcast Episodes

Back to Search
Taarifa ya Habari 2 Agosti 2024

Waziri Mkuu amesema maoni ya watu wanao ishi na ulemavu yanasikizwa, kufuatia ukosoaji ulio ibuka kufuatia jibu la serikali kwa tume yakifalme kwa ul…

1 year, 11 months ago

Short Long
View Episode
Jeff "unaweza dhani ume mdhuru mtu mmoja tu, kumbe ume waathiri wengi zaidi"

Hadithi halisi za wahanga wa mauaji ya 1994 nchini Rwanda, zime zinduliwa katika jumba la sanaa mjini.

1 year, 11 months ago

Short Long
View Episode
H_art the Band kuhusu tamasha ya Australia

Kundi la H_art the Band kutoka Kenya, lili kuwa mjini Sydney kwa tamasha yao ya miji 5 mikuu ya Australia.

1 year, 11 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 12 Julai 2024

Polisi wadai baba ambaye amefunguliwa mashtaka ya mauaji ya watoto wake watatu, inadaiwa walifunga milango kuwazuia watu kuondoka ndani ya nyumba ili…

1 year, 11 months ago

Short Long
View Episode
Sanaa inayo sherehekea uhusiano wa watu wa Mataifa ya Kwanza na bahari

Ni wiki ya NAIDOC, wakati wakusherehekea historia, utamaduni na mafanikio ya watu wa Mataifa ya Kwanza.

1 year, 11 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 11 Julai 2024

Jumuiya katika maeneo ya magharibi Melbourne, zime ambiwa kuepuka kiwanda cha kemikali ambako moto ulituma moshi wenye sumu angani mjini humo baada y…

2 years ago

Short Long
View Episode
Konje "walicho tumia kutuomba kura ndicho wanatumia kufanya maisha yawe ngumu"

Muswada wa fedha wa 2024 nchini Kenya, umevutia upinzani mkubwa kutoka wakenya wanao ishi Australia.

2 years ago

Short Long
View Episode
Umuhimu wa itifaki zawa Australia wa asili ni nini kwa kila mtu?

Kuzingatia itifaki zakitamaduni zawa Aboriginal na wana visiwa wa Torres Strait wa Australia, ni hatua muhimu kwa kuelewa na kuwaheshimu wamiliki wa …

2 years ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 9 Julai 2024

Wakaaji wa Alice Springs wame amka baada ya usiku wa kwanza wa amri ya kuto toka nje ambayo ili wekwa kwa ajili yakupunguza uhalifu.

2 years ago

Short Long
View Episode
Jinsi yakufanya rejesho lako la ushuru Australia

Kama wewe ni mkaaji wa Australia kwa madhumuni ya ushuru, kuanzia Julai 1, ambayo ni mwanzo wa mwaka wa fedha, lazima uweke wazi mapato yote uliyopat…

2 years ago

Short Long
View Episode

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us