Episode Details
Back to EpisodesJeff "unaweza dhani ume mdhuru mtu mmoja tu, kumbe ume waathiri wengi zaidi"
Published 1 year, 11 months ago
Description
Hadithi halisi za wahanga wa mauaji ya 1994 nchini Rwanda, zime zinduliwa katika jumba la sanaa mjini.