Episode Details
Back to EpisodesTaarifa ya Habari 12 Julai 2024
Published 1 year, 11 months ago
Description
Polisi wadai baba ambaye amefunguliwa mashtaka ya mauaji ya watoto wake watatu, inadaiwa walifunga milango kuwazuia watu kuondoka ndani ya nyumba iliyo kuwa iki ungua katika kitongoji cha Lalor Park mjini Sydney.