Podcast Episodes
Back to SearchBaby blues au unyogovu wa uzazi? Jinsi yaku jisaidia pamoja na mpendwa wako
Kama wewe ni mzazi mtarajiwa au mzazi mpya, huenda umesikia neno hili la kiingereza 'baby blues'. Maana yake ni hisia za uzoefu wa changamoto zaki hi…
2 years, 1 month ago
Taarifa ya Habari 10 Juni 2024
Upinzani wa shirikisho umesema una nia yakutekeleza Makubaliano ya Paris ila, uta futa malengo ya mazingira ya Australia yanayo ifunga kisheria.
2 years, 1 month ago
Taarifa ya Habari 7 Juni 2024
Waziri wa serikali ya shirikisho Bill Shorten amesema hawezi sema kama chama cha Labor kita weka chama cha Greens mwisho, katika kadi zao za maelezo …
2 years, 1 month ago
Kipsang "niki imba vilabuni naimbia watu wa Mungu"
Kipsang ni msanii mzawa wa Kenya anaye tunga nyimbo naku imba katika lugha yaki Kalenjin.
2 years, 1 month ago
Wafanyakazi wapato la chini kuongezewa $33 katika mishahara yao kila wiki
Ma milioni yawa Australia watapata nyongeza ya asilimia 3.75 kwa mshahara wao.
2 years, 1 month ago
Taarifa ya Habari 4 Juni 2024
Serikali ya shirikisho inakana ukosefu wa ukuaji wa tija kwa zamu yake ambayo imewagharimu wafanyakazi wapato la chini nyongeza yajuu zaidi ya mshaha…
2 years, 1 month ago
ANC yahamasisha umoja baada yakupoteza wingi bungeni, ila yataka kusalia madarakani
Matokeo ya mwisho ya uchaguzi mkuu wa Afrika Kusini yame thibitisha mabadiliko makubwa katika nyanja ya kisiasa ya nchi hiyo.
2 years, 1 month ago
Taarifa ya Habari 3 Juni 2024
Mamilioni yawa Australia wata pata nyongeza ya asilimia 3.75 kwa mishahara yao, baada ya tume haki ya kazi kutoa uamuzi wake wa tathmini ya mwaka ya …
2 years, 1 month ago
Wasiwasi wabadilika kuhusu kufukuzwa nchini kwa raia wa New Zealand
Serikali ya Australia imesema ina uhakika inaweza simamia uhusiano wayo na New Zealand, licha ya wasiwasi ulio zuliwa kuhusu mageuzi kwa sera inayo j…
2 years, 1 month ago
Taarifa ya Habari 31 Mei 2024
Donald Trump amekuwa rais wa kwanza wa zamani wa Marekani kupatwa na hatai ya uhalifu, baada ya jopo la mahakama la wajumbe 12 mjini New York kumpata…
2 years, 1 month ago