Podcast Episodes

Back to Search
Taarifa ya Habari 20 Mei 2024

Serikali ya Albanese imetetea hatua zakutoa afueni kwa gharama ya maisha, licha ya bajeti ya shirikisho kuipa serikali jeki ndogo katika kura za maon…

2 years, 1 month ago

Short Long
View Episode
Ukatili dhidi ya wanawake waiweka serikali ya Tanzania chini ya shinikizo

Watetezi wa haki za binadamu nchini Tanzania wameitaka serikali ya nchi hiyo kubuni sheria maalum kwa ajili ya kupambana na ukatili dhidi ya wanawake…

2 years, 1 month ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 17 Mei 2024

Kupungua kwa urasimu, bajeti iliyo rahisishwa, na kupungua kwa uhamiaji ni sehemu muhimu ya mpango wa chama cha mseto kwa Australia.

2 years, 1 month ago

Short Long
View Episode
Bajeti yashughulikia maswala muhimu kwa jumuiya zatamaduni nyingi ila maelezo ya ziada yana hitajika

Jamii za wahamiaji na wakimbizi zimekaribisha mipango katika bajeti ya shirikisho ila, wame sema maelezo zaidi yanahitajika kuhusu mikakati iliyo len…

2 years, 1 month ago

Short Long
View Episode
Jinsi ya kuomba kazi

Unapo ona tangazo la kazi linalo kuvutia, kuelewa hatua zinazo fuata ni muhimu.

2 years, 1 month ago

Short Long
View Episode
Namna yakupata leseni yakuendesha gari

Kuendesha gari hutoa uhuru na huongeza fursa zakupata kazi ila, shughuli hiyo huja pia na wajibu mkubwa waku hakikisha usalama barabarani.

2 years, 1 month ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 14 Mei 2024

Mweka hazina Jim Chalmers amesisitiza bajeti atakayo tangaza inahusu kuweka shinikizo yakupunguza mfumuko wa bei.

2 years, 1 month ago

Short Long
View Episode
Watu saba wauawa kwa shambulizi la bomu Mkoani Kalehe DRC

Hali ya usalama inaendelea kuwa mbaya Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

2 years, 1 month ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 10 Mei 2024

Mamia yawa fungwa wa uhamiaji wanaweza achiwa huru kutegemea na hukumu ya mahakama kuu, inayo tarajiwa kutolewa leo kwa changamoto yakisheria iliyo w…

2 years, 2 months ago

Short Long
View Episode
Uchunguzi wa Seneti waunga mkono mswada tata wa uhamisho

Uchunguzi wa Seneti umependekeza serikali ipitishe mswado wake wenye utata, utakao fanya iwe rahisi kuwafukuza nchini walio ndani ya vizuizi vya uham…

2 years, 2 months ago

Short Long
View Episode

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us