Podcast Episodes

Back to Search
Taarifa ya Habari 29 April 2024

Mratibu wa maandamano yakupinga unyanyasaji dhidi ya wanawake mjini Canberra, amesema waziri mkuu alidanganya kuhusu, kuto ruhusiwa kuzungumza katika…

2 years, 2 months ago

Short Long
View Episode
Viongozi wadini, Waziri Mkuu waomba uwepo wa heshima na maelewano katika jamii

Viongozi kutoka jumuiya za wayahudi, waislamu na wakristo mjini Sydney wame kemea kwa pamoja vurugu na maneno yakugawanya ambayo yame ibuka kufuatia …

2 years, 2 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 26 Aprili 2024

Aliyekuwa mu Australia wa mwaka wa zamani Rosie Batty ame ihamasisha serikali ya New South Wales izingatie kuanzisha tume yakifalme kwa ukatili wa ny…

2 years, 2 months ago

Short Long
View Episode
Maveterani washerehekewa naku kumbukwa katika siku ya ANZAC

Maelfu ya watu walijumuika kote nchini Australia, na ng’ambo kutambua siku ya ANZAC.

2 years, 2 months ago

Short Long
View Episode
Utofauti wa tamaduni zawa Anzac wa Australia

Kila mwaka tarehe 25 Aprili, huwa tuna adhimisha Anzac Day, ni siku ambapo tunawakumbuka walio hudumu nakufia vitani.

2 years, 2 months ago

Short Long
View Episode
Shakilah afunguka kuhusu huduma za Rotary Safe Families Victoria

Shirika la Rotary Safe Families, hutoa taarifa zaku saidia kuzuia unyanyasaji kupitia miongozo iliyo tafsiriwa pamoja na filamu.

2 years, 2 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 23 Aprili 2024

Waziri Mkuu amewasifu wanajeshi wa Australia walio kuwa sehemu ya historia ya jeshi, katika eneo la Kokoda Track anapo jiandaa kutembea katika nyayo …

2 years, 2 months ago

Short Long
View Episode
Jinsi yakupata leseni yakuendesha gari Australia

Kuendesha gari hutoa uhuru na huongeza fursa zakupata kazi ila, shughuli hiyo huja pia na wajibu mkubwa waku hakikisha usalama barabarani.

2 years, 2 months ago

Short Long
View Episode
Nicky "kupitia Taunet Nelel vijana wengi wame anza kujijenga kimaisha"

Wakenya wanao ishi Australia watajumuika katika jiji la Dandenong jimboni Victoria, kuhudhuria hafla la shirika la Taunet Nelel.

2 years, 2 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 19 Aprili 2024

Waziri Mkuu ame sisitiza umuhimu wa mshikamano wakijamii nchini Australia, kufuatia uchunguzi kwa shambulizi lakigaidi la kudungwa kisu ndani ya kani…

2 years, 2 months ago

Short Long
View Episode

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us