Podcast Episodes
Back to SearchKuelewa haki yakuandamana Australia na usawa kati ya uhuru wakujieleza na majukumu yakijamii
Karibu kila wiki wa Australia walio na shauku huwa nje mitaani, wakipaza sauti zao waki andamana kuhusu maswala muhimu.
2 years, 2 months ago
Taarifa ya Habari 18 Aprili 2024
Askofu aliye dungwa kisu wakati wa ibada iliyo kuwa ikipeperushwa mubashara, amezungumza kwa mara ya kwanza tangu shambulizi hilo linalo shukiwa kuwa…
2 years, 2 months ago
Kuelewa sheria za vizuizi vya watoto pamoja na mazoezi bora
Hata kama Australia ina fahari yakuwa na moja ya viwango vya juu zaidi vya matumizi ya vizuizi vya watoto ndani ya gari, watoto wengi bado wana safir…
2 years, 2 months ago
Taarifa ya Habari 15 Aprili 2024
Polisi wamesema mwanaume aliye uwa watu sita kwa kuwadunga kisu ndani ya soko la Westfield Bondi Junction, ali waepuka wanaume kimakusudi nakuwalenga…
2 years, 2 months ago
Polisi wamtambua mshambuliaji katika mauaji ya watu wengi ambako watu sita walifariki
Jeshi la polisi la New South Wales lime anza uchunguzi kwa shambulizi la kisu, lililo wauwa watu sita ndani ya soko kubwa katika vitongoji vya mashar…
2 years, 2 months ago
Taarifa ya Habari 12 Aprili 2024
Kiongozi wa upinzani Peter Dutton ametetea kauli yake, yakufananisha umuhimu kwa jamii maandamano yanayo unga mkono wapalestina katika jengo la Sydne…
2 years, 2 months ago
Jinsi yakujiandaa kwa dhoruba na mafuriko Australia
Katika muongo ulio pita, Australia imepitia matukio mabaya sana ya mafuriko katika historia ya hivi karibuni. Kati ya miaka ya 2020-2022, sehemu kubw…
2 years, 2 months ago
Taarifa ya Habari 9 Aprili 2024
Shirika la ustawi wa jamii lina omba pawe ongezeko kwa malipo ya hifadhi ya jamii baada ya utafiti wayo mpya kupata kuwa, wa Australia wanao pokea ma…
2 years, 3 months ago
Taarifa ya Habari 8 Aprili 2024
Kiongozi wa chama cha Nationals David Littleproud amesema anaunga mkono adhabu kwa tabia mbaya za maduka makubwa ila, ameongezea kuwa mabadiliko hayo…
2 years, 3 months ago
Mkurugenzi afunguka kuhusu ziara ya Australia
Abel Mutua amejitengenezea nafasi yakipekee katika sekta ya sanaa Afrika Mashariki.
2 years, 3 months ago