Podcast Episodes

Back to Search
Rahab"Serikali imesikia nakuchukulia hatua kilio chetu kuhusu utapeli"

Viongozi wa makampuni na biashara kutoka Kenya wame tua mjini Melbourne kushiriki katika kongamano la biashara.

2 years, 3 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 12 Machi 2024

Serikali imesema imetupilia mbali kutumia ushuru kuwekeza mfumo wa malezi ya wazee, baada yakutolewa kwa ripoti ya nguvu kazi katika sekta hiyo.

2 years, 3 months ago

Short Long
View Episode
Ramadan na Eid ni nini na husherehekewaje Australia

Australia ni nchi yenye tamaduni nyingi na ina idadi kubwa yawa Islamu wengi.

2 years, 3 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 11 Machi 2024

Polisi wamesema juhudi zakumtafuta mvulana wa miaka 12 katika eneo la magharibi Sydney, zimefika katika hatua muhimu wasiwasi kuhusu ustawi wake ukie…

2 years, 3 months ago

Short Long
View Episode
Kotnyin afunguka kuhusu siku ya kimataifa ya wanawake

Serikali ya shirikisho imetoa ripoti yake ya pili ya mwaka kwa hali ya wanawake.

2 years, 4 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 8 Machi 2024

Serikali ya shirikisho imetoa ripoti yake ya pili ya mwaka kwa hali ya Wanawake, ripoti hiyo inaonesha pengo la malipo ya jinsia iko katika kiwango c…

2 years, 4 months ago

Short Long
View Episode
Kukabiliana na habari potofu: jinsi yakutambua na kukabiliana na habari za uongo

Katika zama ambapo habari husafiri kwa kasi ya mwanga, kutofautisha ukweli kwa uongo imekuwa changamoto kubwa.

2 years, 4 months ago

Short Long
View Episode
Wanyika afunguka kuhusu maandalizi ya tamasha ya Angélique Kidjo katika Sydney Opera House

Gwiji wa Muziki kutoka Benin Bi Angélique Kidjo ana tarajiwa kuwa na tamasha kubwa ndani ya Sydney Opera House usiku wa Jumatano 6 Machi 2024.

2 years, 4 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 5 Machi 2024

Anthony Albanese anatarajiwa kuweka wazi sera mpya zakupiga jeki ushiriki wa biashara za Australia, katika ukanda wa Kusini mashariki Asia, kongamano…

2 years, 4 months ago

Short Long
View Episode
Wito watolewa katika wiki yakitaifa ya uelewa zaidi wa ugonjwa wa vifaa vyakusafirisha damu ndani ya moyo

Wiki ya tarehe 26 Feb hadi 3 Machi, ni wiki yakutoa uelewa wa ugonjwa wa moyo na kifaa kinacho tumiwa kusafirisha hewa au damu moyoni.

2 years, 4 months ago

Short Long
View Episode

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us