Podcast Episodes
Back to SearchTaarifa ya Habari 4 Machi 2024
Waziri mkuu Anthony Albanese amesema uchaguzi mdogo wa Dunkley umethibitisha kuwa wa Australia hawa vutiwi na kampeni hasi.
2 years, 4 months ago
Taarifa ya Habari 1 Machi 2024
Shirika la ujasusi la Australia limetetea uamuzi wayo wakuto weka wazi jina la mwanasiasa wa zamani ambaye ame husishwa na kundi la ujasusi lakigeni.
2 years, 4 months ago
Tanzania yaomboleza kifo cha Hayati Mwinyi
Viongozi mbali mbali nchini Tanzania, wana endelea kutoma salamu za kwa jamaa na familia ya Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi, aliyefariki dunia Alhamis…
2 years, 4 months ago
Taarifa ya Habari 27 Februari 2024
Asilimia 90 au zaidi ya waajiri katika sekta za madini, umeme, maji, huduma za taka, fedha na bima, wana pengo la malipo linalo wapendelea wanaume.
2 years, 4 months ago
Shakilah" lengo letu si kutenganisha familia, ila nikufanya ziwe imara"
Shirika la Rotary Safe Families hutoa taarifa zaku saidia kuzuia unyanyasaji kupitia miongozo iliyo tafsiriwa pamoja na filamu.
2 years, 4 months ago
Taarifa ya Habari 26 Februari 2024
Vikwazo vyakifedha vya mtindo wa Magnitsky pamoja na marufuku yakusafiri, yametolewa dhidi ya maafisa saba wa gereza ambao serikali ya Australia ina …
2 years, 4 months ago
Sergent "Kiptum's death is painful and still haunts us"
The family of the late marathon world record holder Kelvin Kiptum and members of the Kenyan community have gathered in his rural village to give him …
2 years, 4 months ago
Prof Chacha "Tunastahili ongeza juhudi kukutanisha Rwanda na DRC ili tupate suluhu ya amani"
Maelfu ya raia wanao ishi katika mji wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, wanahangaika kutokana na upungufu mkubwa wa chakula ndani…
2 years, 4 months ago
Sergent "Kiptum alikuwa mtu mpole na mcheshi sana"
Habari za kifo cha mshindi wa rekodi ya dunia ya mbio za marathon za wanaume, Kelvin Kiptum katika ajali ya barabarani, zilitikisa dunia nzima siku c…
2 years, 4 months ago
Tresor "Lugha ya mama inatusaidia kuendeleza mila yetu"
Shirika la Umoja wa Mataifa limekuwa liki adhimisha siku ya kimataifa ya lugha ya mama 21 Februari tangu 1999.
2 years, 4 months ago