Episode Details
Back to EpisodesSergent "Kiptum alikuwa mtu mpole na mcheshi sana"
Published 2 years, 4 months ago
Description
Habari za kifo cha mshindi wa rekodi ya dunia ya mbio za marathon za wanaume, Kelvin Kiptum katika ajali ya barabarani, zilitikisa dunia nzima siku chache zilizo pita.