Podcast Episodes

Back to Search
Taarifa ya Habari 13 Februari 2024

Serikali ya shirikisho iko katika hatari yaku kosa kuungwa mkono kwa sera yake muhimu ya nyumba.

2 years, 4 months ago

Short Long
View Episode
Vincent afunguka kuhusu sekta ya ucheshi Australia

Idadi ya wacheshi wenye asili ya Afrika ina endelea kuongezeka nchini Australia.

2 years, 4 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 9 Februari 2024

Uchambuzi mpya wa shirika la Regional Australia Institute umepata kuwa bei za nyumba katika maeneo ya kanda, zina fika viwango vya juu nakukaribia be…

2 years, 5 months ago

Short Long
View Episode
Ni mbinu ipi bora ya kutokomeza ukeketaji

Mashirika mbali mbali yana endelea kuongeza juhudi kutokomeza ukeketaji, pamoja nakutoa elimu kwa umma kuhusu jambo hilo.

2 years, 5 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 8 Februari 2024

Waziri Mkuu wa Papua New Guinea James Marape, ame hotubia bunge la Australia.

2 years, 5 months ago

Short Long
View Episode
Saada afunguka kuhusu umuhimu wakutokomeza ukeketaji

Februari 6 ni siku ya kimataifa ya kutokomeza ukeketaji, mashirika na mamlaka mbali mbali huandaa hafla zakutoa elimu kwa umma kuhusu jambo hilo.

2 years, 5 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 6 Februari 2024

Waziri Mkuu amekosoa upinzani kwa kufeli kuwa na msimamo kwa pendekezo lake la awamu ya tatu ya makato ya kodi, wakati vikao vya bunge la shirikisho …

2 years, 5 months ago

Short Long
View Episode
Wanaume wakaribishwa kuchangia chakula na kutafuta suluhu za changamoto zao

Ni nadra kupata kundi linalo shughulikia maswala ambayo huwakabili wanaume nchini Australia.

2 years, 5 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 2 Februari 2024

Australia itatuma wajumbe New Zealand kujadili uwezekano wa ushirika wakijeshi katika muungano wa AUKUS.

2 years, 5 months ago

Short Long
View Episode
Idadi yawa Australia wanao kosa kuwaona ma GP yaongezeka kwa sababu ya gharama kubwa za miadi

Wakati mfumo wa huduma ya afya kwa wote ya Australia Medicare ina sherehekea miaka 40, data mpya imeonesha kuwa wagonjwa wana endelea kuepuka kuwaona…

2 years, 5 months ago

Short Long
View Episode

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us