Episode Details
Back to EpisodesTaarifa ya Habari 15 Aprili 2024
Published 2 years, 2 months ago
Description
Polisi wamesema mwanaume aliye uwa watu sita kwa kuwadunga kisu ndani ya soko la Westfield Bondi Junction, ali waepuka wanaume kimakusudi nakuwalenga wanawake na watoto.