Episode Details
Back to EpisodesTaarifa ya Habari 8 Aprili 2024
Published 2 years, 3 months ago
Description
Kiongozi wa chama cha Nationals David Littleproud amesema anaunga mkono adhabu kwa tabia mbaya za maduka makubwa ila, ameongezea kuwa mabadiliko hayo hayata jiri haraka yakutosha kwa watumiaji.