Episode Details
Back to EpisodesJinsi yakujiandaa kwa dhoruba na mafuriko Australia
Published 2 years, 2 months ago
Description
Katika muongo ulio pita, Australia imepitia matukio mabaya sana ya mafuriko katika historia ya hivi karibuni. Kati ya miaka ya 2020-2022, sehemu kubwa zime zama chini ya maji mara tatu au mara nne.