Podcast Episodes
Back to SearchTaarifa ya Habari 9 Mei 2024
Serikali ya Australia ita imarisha miradi ya gesi katika hatua yakutoa suluhu kwa ongezeko la mahitaji pamoja nakusaidia mchakato wakuhamia kwa uzali…
2 years, 2 months ago
Bunge la Kenya lapiga kura yakutokuwa na imani na waziri wa kilimo na mifugo
Kamati maalum ya bunge la Kenya, imesikiza wasilisho la Mh Jack Wamboka ambaye anataka waziri wa kilimo na mifugo wa Kenya atimuliwe kazini.
2 years, 2 months ago
Taarifa ya Habari 7 Mei 2024
Serikali imesema ita kuwa na akiba ya bilioni moja ya dola katika bajeti ya shirikisho ijayo, kwa kukata matumizi ya huduma ya umma ya wakandarasi, w…
2 years, 2 months ago
Understanding the profound connections First Nations have with the land - Kuelewa uhusiano wa kina wa Mataifa ya Kwanza na ardhi
The land holds a profound spiritual significance for Aboriginal and Torres Strait Islander peoples, intricately intertwined with their identity, belo…
2 years, 2 months ago
Charlie "Mashabiki wa Bien watarajie bonge la tamasha"
Wakaaji wa Sydney wana jiandaa kuhudhuria moja ya tamasha kubwa ya mwaka wa 2024, inayo andaliwa na kampuni ya Beast from the East Entertainment.
2 years, 2 months ago
Afrika Kusini ya adhimisha mwisho wa kumbukumbu ya apartheid wakati wa ongezeko ya kutoridhika nchini humo
Africa Kusini ina adhimisha miaka 30 tangu uchaguzi wakwanza wayo waki demokrasia ambapo kila raia wa Afrika Kusini aliweza piga kura.
2 years, 2 months ago
Taarifa ya Habari 3 Mei 2024
Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema waendesha mashtaka wa shirikisho walifanya uamuzi mubaya kuruhusu dhamana kwa mfungwa wa uhamiaji, ambaye baadae…
2 years, 2 months ago
MCA Tricky "Nili ingia katika ucheshi kujibamba"
MCA Tricky ni mmoja wa wacheshi maarufu nchini Kenya, kazi zake zina endelea kuwavutia mashabiki wengi.
2 years, 2 months ago
Taarifa ya Habari 30 Aprili 2024
Ripoti mpya kuhusu mauaji nchini Australia, imeonesha kuwa idadi ya wanawake ambao wame uawa na wapenzi wao wa sasa au wazamani, imeongezeka kwa asil…
2 years, 2 months ago
Mafuriko yasababisha maafa makubwa Afrika Mashariki
Zaidi ya watu 130,000 wame hamishwa na mafuriko nchini Kenya wakati idadi ya vifo ina endelea kuongezeka tena baada ya bwawa kuvunjika Jumatatu.
2 years, 2 months ago