Episode Details
Back to EpisodesTaarifa ya Habari 7 Mei 2024
Published 2 years, 2 months ago
Description
Serikali imesema ita kuwa na akiba ya bilioni moja ya dola katika bajeti ya shirikisho ijayo, kwa kukata matumizi ya huduma ya umma ya wakandarasi, washauri na wafanyakazi wengine wa nje.