Episode Details
Back to EpisodesMafuriko yasababisha maafa makubwa Afrika Mashariki
Published 2 years, 2 months ago
Description
Zaidi ya watu 130,000 wame hamishwa na mafuriko nchini Kenya wakati idadi ya vifo ina endelea kuongezeka tena baada ya bwawa kuvunjika Jumatatu.