Podcast Episodes
Back to SearchVita vya Australia vilikuwa vipi na kwa nini historia haija vitambua?
The Frontier Wars ni neno linalo tumiwa kuelezea zaidi ya miaka 100 ya migogoro ya vurugu kati ya wakoloni nawatu wa asili wa Australia, vilivyo toke…
2 years, 1 month ago
Wa Australia wa Mataifa ya Kwanza wasema 'Sasa zaidi ya Wakati wowote' upatanisho wa kweli unahitajika
Hii ni wiki ya Upatanisho, ina adhimisha tarehe mbili muhimu katika historia ya Australia kwa haki zawatu wa Mataifa ya Kwanza.
2 years, 1 month ago
Taarifa ya Habari 28 Mei 2024
Waziri wa maswala ya kigeni wa Australia Penny Wong amesema shambulizi baya la anga la Israel katika mji wa Rafah, linatisha na halikubaliki. Takriba…
2 years, 1 month ago
Vital Kamerhe achaguliwa kuwa spika mpya wa bunge la DRC
Wabunge wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wamemchagua Vital Kamerhe, ambaye nyumba yake ilishambuliwa siku ya Jumapili, kuwa spika mpya.
2 years, 1 month ago
Taarifa ya Habari 24 Mei 2024
Ndege mbili za ziada zitatumika kutoka New Caledonia, serikali ya Australia ikiendeleza juhudi zakuwaleta nyumbani raia ambao wame kwama huko. Safari…
2 years, 1 month ago
Kikomo cha umri wa viza 'isiyo haki' kuwalazimisha wanafunzi wakimataifa wa PhD kuondoka Australia
Kikomo kipya kwenye visa maarufu ya wahitimu kina waacha wanafunzi wengi wakimataifa wa PhD nchini Australia waki kabiliwa na siku za usoni zisizo na…
2 years, 1 month ago
Taarifa ya Habari 23 Mei 2024
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron yuko katika Kisiwa cha Pasifiki cha New Caledonia, kwa mazungumzo yenye lengo laku geuza ukurasa kwa ghasia mbaya il…
2 years, 1 month ago
What were the Australian Wars and why is history not acknowledged? - Vita vya Australia vilikuwa vigani na kwa nini historia haivitambui?
The Frontier Wars is a term often used to describe the more than 100 years of violent conflicts between colonial settlers and the Indigenous peoples …
2 years, 1 month ago
Taarifa ya Habari 21 Mei 2024
Upinzani wa shirikisho umesema serikali haina "mpango wa kuaminika", kulinda mtandao wa umeme wa Australia kupitia kuhamia kwa nishati mbadala.
2 years, 1 month ago
Charlie "Tamasha ya Sawa Sawa ni jukwaa la watu kuonesha vipaji na biashara zao"
Wana jumuiya wa Afrika wanao ishi mjini Sydney wamepata sababu yakufanya mtoko, ambao unajumuisha kila mwanachama wa familia.
2 years, 1 month ago