Episode Details
Back to EpisodesVital Kamerhe achaguliwa kuwa spika mpya wa bunge la DRC
Published 2 years, 1 month ago
Description
Wabunge wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wamemchagua Vital Kamerhe, ambaye nyumba yake ilishambuliwa siku ya Jumapili, kuwa spika mpya.