Episode Details
Back to EpisodesViongozi wadini, Waziri Mkuu waomba uwepo wa heshima na maelewano katika jamii
Published 2 years, 2 months ago
Description
Viongozi kutoka jumuiya za wayahudi, waislamu na wakristo mjini Sydney wame kemea kwa pamoja vurugu na maneno yakugawanya ambayo yame ibuka kufuatia matukio mawili ya shambulizi ya visu mjini Sydney.