Episode Details
Back to EpisodesUkatili dhidi ya wanawake waiweka serikali ya Tanzania chini ya shinikizo
Published 2 years, 1 month ago
Description
Watetezi wa haki za binadamu nchini Tanzania wameitaka serikali ya nchi hiyo kubuni sheria maalum kwa ajili ya kupambana na ukatili dhidi ya wanawake na wasichana kutokana na kuwepo kwa ongezeko la kubwa la ukatili katika kipindi cha hivi karibuni hali inayoendelea kutia wasiwasi.