Episode Details
Back to EpisodesTaarifa ya Habari 10 Mei 2024
Published 2 years, 2 months ago
Description
Mamia yawa fungwa wa uhamiaji wanaweza achiwa huru kutegemea na hukumu ya mahakama kuu, inayo tarajiwa kutolewa leo kwa changamoto yakisheria iliyo wasilishwa na muomba hifadhi kutoka Iran.