Episode Details
Back to EpisodesJinsi yakupata shughuli za baada ya shule za bei nafuu na jumuishi
Published 1 year, 4 months ago
Description
Shughuli za baada ya shule huwapa watoto na vijana faida nyingi, kuanzia kujifunza ujuzi mpya hadi jinsi yakupata marafiki wapya. Wakati kuna chaguzi nyingi nchini ya vitu vyakufanya nchini Australia, shughuli hizo zina weza kuwa ghali.