Episode Details
Back to EpisodesTaarifa ya Habari 24 Februari 2025
Published 1 year, 4 months ago
Description
Chama cha Matibabu cha Australia (A-M-A) kimesema ni vigumu kujua kama jeki ya uwekezaji wa $8.5 bilioni ya serikali ya Labor, kwa huduma za matibabu bila malipo zita wafikia wanao ihitaji zaidi.