Podcast Episodes
Back to SearchTaarifa ya Habari 13 Septemba 2024
Mdhibiti wa vyombo vya habari nchini, atapewa mamlaka yakuchukua hatua dhidi ya makampuni ya teknolojia kama Meta na X, kwa usambazaji wa habari poto…
1 year, 9 months ago
Upinzani watishia maandamano iwapo wanachama wao hawata achiwa huru Tanzania
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania kimetishia kuanzisha maandamano makubwa zaidi, tangazo linalokuja baada ya kutuhumu mamlaka kwenye taifa la …
1 year, 9 months ago
Taarifa ya Habari 10 Septemba 2024
Wauguzi na wakunga kote jimboni New South Wales, wanao ondoka kazini leo Jumanne 10 Septemba, kinyume na amri za tume ya mahusiano ya serikali ya viw…
1 year, 10 months ago
Embracing the wisdom of traditional Indigenous medicine - Kukumbatia maarifa ya tiba ya asili
Understanding and respecting Indigenous knowledge of medicine may be the key to providing more holistic and culturally sensitive care in today's heal…
1 year, 10 months ago
#39 Kuwasilisha marejesho yako ya ushuru | Vidokezo vyakudai gharama (Adv)
Jifunze jinsi yakuzungumza kuhusu marejesho ya ushuru. Pia jua jinsi punguzo ya ushuru inaweza kusaidia kupunguza bili yako ya ushuru.
1 year, 10 months ago
Waganga wakienyeji walikata viungo vya Jessy na George, sasa madaktari wa Australia wanarejesha afya yao
Ushirikina umefanywa kwa mufa mrefu kote nchini Uganda.
1 year, 10 months ago
Sekta ya elimu ya juu yasema wanafunzi wakimataifa wamekuwa 'lishe ya mzinga' katika mjadala wa uhamiaji
Idadi ya wanafunzi wakimataifa itawekewa vikomo mwaka ujao, serikali inapojaribu kupunguza uhamiaji wa ng’ambo.
1 year, 10 months ago
Taarifa ya Habari 3 Septemba 2024
Data ya hivi karibuni imeonesha kwa sasa ni ghali zaidi kununua nyumba Adelaide au Perth kuliko Melbourne.
1 year, 10 months ago
David "Kupoteza wanachama 3 ndani ya siku 10 imekuwa pigo kubwa sana kwetu"
Jumuia yawa Kenya wanao ishi Victoria, ina omboleza vifo vya wanachama watatu walio aga dunia ndani ya siku 10.
1 year, 10 months ago
Taarifa ya Habari 27 Agosti 2024
Kampuni ya ndege ya Singapore Airlines itakuwa kampuni ya kimataifa ya kwanza kutumia uwanja mpya wa ndege wa Magharibi Sydney. Qantas ime ahidi taya…
1 year, 10 months ago