Episode Details
Back to EpisodesTaarifa ya Habari 27 Agosti 2024
Published 1 year, 10 months ago
Description
Kampuni ya ndege ya Singapore Airlines itakuwa kampuni ya kimataifa ya kwanza kutumia uwanja mpya wa ndege wa Magharibi Sydney. Qantas ime ahidi tayari kutumia uwanja huo wa ndege, unao tarajiwa kufunguliwa mwisho wa 2026.