Episode Details
Back to EpisodesTaarifa ya Habari 13 Septemba 2024
Published 1 year, 9 months ago
Description
Mdhibiti wa vyombo vya habari nchini, atapewa mamlaka yakuchukua hatua dhidi ya makampuni ya teknolojia kama Meta na X, kwa usambazaji wa habari potofu na habari feki katika mitandao yao.