Episode Details
Back to EpisodesUpinzani watishia maandamano iwapo wanachama wao hawata achiwa huru Tanzania
Published 1 year, 9 months ago
Description
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania kimetishia kuanzisha maandamano makubwa zaidi, tangazo linalokuja baada ya kutuhumu mamlaka kwenye taifa la Afrika Mashariki kwa kuwauua na kuwateka wanachama wake.