Episode Details
Back to EpisodesTaarifa ya Habari 4 Oktoba 2024
Published 1 year, 9 months ago
Description
Idara ya Afya ya New South Wales ina wahamasisha watu wanao stahiki wapate dozi zao mbili za chanjo za mpox sasa hivi, wasiwasi unapo endelea kuwa kuhusu ongezeko ya kesi na wanao lazwa hospitalini jimboni humo.