Podcast Episodes

Back to Search
Australia yabadilisha msimamo wa miaka 20 kwa uvamizi wa Israel katika maeneo ya Palestine

Australia imebadilisha msimamo wayo kwa azimio la Umoja wa Mataifa, linalo taka Israel isitishe kukalia kwa mabavu maeneo ya wapalestina.

1 year, 7 months ago

Short Long
View Episode
Mh JP Mwirigi "ili nchi ipate heshima yake, kuna miundombinu lazima ijenge"

Maamuzi ya utoaji wa kandarasi ya ukarabati ya baadhi ya miundombinu, yame iweka serikali ya Kenya chini ya shinikizo kubwa hivi karibuni.

1 year, 7 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 3 Disemba 2024

Umoja wa Mataifa ume ongeza sauti yake kwa wimbi la ukosoaji dhidi ya sheria mpya za Queensland, shirika hilo limesema sheria hiyo inaonesha "kupuuza…

1 year, 7 months ago

Short Long
View Episode
Kuelewa jinsi maduka ya dawa yanavyo fanya kazi Australia

Nchini Australia, wafamasia hutoa dawa zilizo agizwa nama daktari pamoja na ushauri wa huduma ya afya, kuelimisha jumuiya kuhusu matumizi salama ya d…

1 year, 7 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 29 Novemba 2024

Waziri Mkuu amekataa kuweka wazi jinsi mamlaka yaku wafurusha watu katika nchi ya tatu yata tumiwa.

1 year, 7 months ago

Short Long
View Episode
Hoja ya mamlaka yatishia mazungumzo yaku unda serikali ya mseto ya Sudan Kusini

Mazungumzo ya kuunda serikali ya mseto Sudan Kusini, yame kwama baada ya pande husika kuto afikiana kuhusu jinsi wata wagawa mamlaka.

1 year, 7 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 26 Novemba 2024

Mchumi mmoja amesema mpango wa usawa wa pamoja waku saidia kununua nyumba wa serikali, hauta leta tofauti kubwa katika soko la nyumba la Australia.

1 year, 7 months ago

Short Long
View Episode
Nini hutokea unapo itwa kuhudumu katika baraza la waamuzi

Kila raia wa Australia ambaye yuko katika sajili ya kupiga kura, anaweza itwa kuhudumu katika baraza la waamuzi, hatua inayo julikana pia kama wajibu…

1 year, 7 months ago

Short Long
View Episode
Mh JP Mwirigi "nili ota nina soma muswada bungeni"

Mh John Paul Mwirigi ana nafasi yakipekee katika vitabu vya kumbukumbu ya bunge la Kenya.

1 year, 7 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 19 Novemba 2024

Ripoti kuhusu mshikamano wakijamii imepata, kuna mitazamo michache chanya, kwa dini kote jimboni katika makundi yote makubwa ya imani.

1 year, 7 months ago

Short Long
View Episode

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us