Episode Details
Back to EpisodesMh JP Mwirigi "ili nchi ipate heshima yake, kuna miundombinu lazima ijenge"
Published 1 year, 7 months ago
Description
Maamuzi ya utoaji wa kandarasi ya ukarabati ya baadhi ya miundombinu, yame iweka serikali ya Kenya chini ya shinikizo kubwa hivi karibuni.