Episode Details
Back to EpisodesHoja ya mamlaka yatishia mazungumzo yaku unda serikali ya mseto ya Sudan Kusini
Published 1 year, 7 months ago
Description
Mazungumzo ya kuunda serikali ya mseto Sudan Kusini, yame kwama baada ya pande husika kuto afikiana kuhusu jinsi wata wagawa mamlaka.