Episode Details
Back to EpisodesNini hutokea unapo itwa kuhudumu katika baraza la waamuzi
Published 1 year, 7 months ago
Description
Kila raia wa Australia ambaye yuko katika sajili ya kupiga kura, anaweza itwa kuhudumu katika baraza la waamuzi, hatua inayo julikana pia kama wajibu wa baraza la waamuzi.