Podcast Episodes
Back to SearchTaarifa ya Habari 31 Disemba 2024
Kikundi cha magari cha N-R-M-A kina omba tume ya ushindani na watumiaji ya Australia, ifanye uchunguzi wa haraka kwa madhara mabaya ya mizunguko ya b…
1 year, 6 months ago
Levi "Wazazi wasi harakishe kuwatuma watoto ng'ambo kabla hawaja komaa"
Wazazi wengi huwa na ndoto za kuwatuma watoto wao ng'ambo kufanya elimu ya juu.
1 year, 6 months ago
Taarifa ya habari 27 Disemba 2024
Mabadiliko mazuri ya hali ya hewa yame saidia juhudi za wazima moto wanao kabiliana na moto ambao haukuwa ukidhibitika katika maeneo ya Grampians jim…
1 year, 6 months ago
Jeshi la polisi la Kenya lakanusha kuhusika na utekaji wa wakosoaji wa serikali
Jeshi la polisi Kenya limekanusha kuhusika na visa vya karibuni vya utekaji unaowalenga wakosoaji wa serikali. Watu 74 walitekwa tangu maandamano ya …
1 year, 6 months ago
Understanding Indigenous knowledge of weather and seasons - Kuelewa maarifa ya hali ya hewa na misimu yawatu wa asili
You’re probably familiar with the four seasons—Summer, Autumn, Winter, and Spring—but did you know that First Nations people have long recognised man…
1 year, 6 months ago
Taarifa ya Habari 26 Disemba 2024
Mamlaka wa Urusi na Australia wachunguza ripoti kuwa, raia wa Australia amekamatwa akipigania Ukraine.
1 year, 6 months ago
Taarifa ya Habari 24 Disemba 2024
Waziri Mkuu Anthony Albanese ametupilia mbali tathmini ya upinzani kuwa amefeli kwa swala la uhamiaji, wakati ripoti za mihadarati kama heroin, metha…
1 year, 6 months ago
Wangeci "nilikuwa mkali sana katika mawasiliano yetu ya kwanza"
Je, unakumbuka ulipo mwona mpenzi wako mara ya kwanza? alikupokea ulivyo tarajia, au ilibidi uboreshe mstari yako kabla ujaribu tena?
1 year, 6 months ago
Kuelewa maarifa ya wa Australia wa Kwanza kuhusu hali ya hewa na misimu
Pengine unafahamu misimu minne- Majira ya joto, vuli, majira ya baridi na masika ila, unafahamu kuwa watu wa Mataifa ya Kwanza wame tambua misimu min…
1 year, 6 months ago
Kauli ya mwanae Museveni yazua kero kwa majirani Sudan na DRC
Serikali ya Sudan inaitaka Uganda iombe rasmi msamaha, kutokana na kile imekitaja kuwa ujumbe wa kuchukiza na hatari ulioandikwa na mkuu wa jeshi la …
1 year, 6 months ago