Episode Details
Back to EpisodesJeshi la polisi la Kenya lakanusha kuhusika na utekaji wa wakosoaji wa serikali
Published 1 year, 6 months ago
Description
Jeshi la polisi Kenya limekanusha kuhusika na visa vya karibuni vya utekaji unaowalenga wakosoaji wa serikali. Watu 74 walitekwa tangu maandamano ya kuipinga serikali, huku 26 wakiwa bado hawajulikani waliko.