Episode Details
Back to EpisodesKauli ya mwanae Museveni yazua kero kwa majirani Sudan na DRC
Published 1 year, 6 months ago
Description
Serikali ya Sudan inaitaka Uganda iombe rasmi msamaha, kutokana na kile imekitaja kuwa ujumbe wa kuchukiza na hatari ulioandikwa na mkuu wa jeshi la Uganda Jenerali Muhoozi Kainerugaba, aliyetishia kuivamia Khartoum kijeshi.