Episode Details
Back to EpisodesKuelewa maarifa ya wa Australia wa Kwanza kuhusu hali ya hewa na misimu
Published 1 year, 6 months ago
Description
Pengine unafahamu misimu minne- Majira ya joto, vuli, majira ya baridi na masika ila, unafahamu kuwa watu wa Mataifa ya Kwanza wame tambua misimu mingine mingi kwa muda mrefu?