Episode Details
Back to EpisodesTaarifa ya Habari 11 Oktoba 2024
Published 1 year, 9 months ago
Description
Wa Australia wanaweza lipishwa zaidi watakapo enda tena kuweka petroli ndani ya gari zao ila, mweka hazina wa taifa ame wahamasisha wauzaji wa reja reja wasi wadhulumu wateja.