Episode Details
Back to EpisodesKuelewa uhusiano wa kina wa Mataifa ya Kwanza na ardhi
Published 1 year, 7 months ago
Description
Ardhi ina umuhimu mkubwa wa kiroho kwa wa Aboriginal na wanavisiwa wa Torres Strait, iliyo unganishwa kwa ustadi na utambulisho wao, kuwa sehemu na hali yao ya maisha.