Podcast Episodes

Back to Search
Taarifa ya Habari 10 Februari 2025

Hesabu zina endelea katika chaguzi dogo katika eneo bunge la Werribee ambalo liliwahi kuwa ngome ya chama cha Labor katika vitongoji vya magharibi ya…

1 year, 5 months ago

Short Long
View Episode
Nanga "Tutaweka polisi wa taifa, utawala, na mfumo wa haki”

Waasi wa M23 wametangaza nia yao ya “kuikomboa Kongo yote” wakati wa mkutano wa hadhara mjini Goma.

1 year, 5 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 7 Februari 2025

Serikali ya Wilaya ya Kaskazini ime fikia makubaliano ya thamani yama milioni ya dola na mashirika yawa Australia wa kwanza, kutoa huduma kwa maeneo …

1 year, 5 months ago

Short Long
View Episode
Jinsi ya kupata Malipo ya Likizo ya Wazazi nchini Australia

Nchini Australia, baadhi ya wazazi wanaweza pokea malipo ya likizo ya wazazi kutoka serikali na waajiri wao. Ila si kila mtu ana stahiki.

1 year, 5 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 6 Februari 2025

Nchi zaki Arabu, Umoja wa Mataifa na washirika wakaribu wa Marekani wamekosoa pendekezo la Donald Trump kuchukua ukanda wa Gaza, naku tawanya wa Pale…

1 year, 5 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 4 Februari 2025

Wanasiasa wame ashiria kufunguliwa kwa Bunge la taifa kwa kuhudhuria ibada katika Kanisa laki Katoliki la Mtakatifu Christopher, mjini Canberra leo a…

1 year, 5 months ago

Short Long
View Episode
Ongezeko ya gharama ya shule yalazimisha baadhi ya familia kufanya maamuzi magumu

Mwaka wa shule wa 2025 uli anza Jummanne 28 Januari katika majimbo ya Queensland na Kusini Australia, wanafunzi wa shule za msingi na upili walirejea…

1 year, 5 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 3 Februari 2025

Waziri wa Kigeni Penny Wong amesema vikwazo vipya vya kufadhili ugaidi kwa mtandoa wa kundi lawa neo-Nazi wa mtandaoni kwa jina la Terrorgram, ni seh…

1 year, 5 months ago

Short Long
View Episode
Bw Omari "watu wana anza sema wakati wa Kabila ulikuwa afadhali kuliko sasa"

Hali ya usalama inavyo zidi kudorora katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), ndivyo serikali ya Rais Tshisekedi inavyo zidi kuwa chini ya shin…

1 year, 5 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 31 Januari 2025

Serikali ya shirikisho na Victoria zime tia saini mkataba wa uwekezaji wenye thamani ya dola bilioni $2.5 kwa elimu, ambayo serikali hizo zime sema u…

1 year, 5 months ago

Short Long
View Episode

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us