Podcast Episodes

Back to Search
Hezron "Tuwe na mazoea ya kujuliana hali"

Mwenyekiti wa Jumuiya yawa Kalenjin wanao ishi mjini Sydney, New South Wales Bw Hezron Baranga, ali andaa mkutano maalum wa wanaume wa jumuiya yake k…

1 year, 4 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 20 Februari 2025

Mkuu wa shirika la usalama wa ndani nchini Australia ana onya, kuna ongezeko la wimbi la watoto wanao lengwa kutumia maudhui ya itikadi kali mtandaon…

1 year, 4 months ago

Short Long
View Episode
Jinsi ya kukabiliana na unyanyasaji shuleni au mtandaoni

Kutoa mazingira salama na jumuishi ni dhamira ya msingi ya kila jumuiya ya shule ya Australia. Ila wazazi wanastahili fanya nini mtoto wao anapo nyan…

1 year, 4 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 18 Februari 2025

Onyo limetolewa kuhusu matokeo ya kura ambayo matokeo hayo ya karibu huenda yasi mulike kura zawa Australia.

1 year, 4 months ago

Short Long
View Episode
Uchomaji wakitamaduni: kutumia moto kulinda dhidi ya moto na kufufua Nchi

Kuishi katika mazingira yenye moto kama Australia, wengi wetu hupata ugumu waku ona moto kama kitu kingine zaidi yakuwa tisho.

1 year, 4 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 17 Februari 2025

Kiongozi wa upinzani wa shirikisho Peter Dutton amesema yuko tayari kufanya mazungumzo na wabunge huru, kama vyama viwili vikubwa nchini havita weza …

1 year, 4 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 13 Februari 2025

Waziri wa Afya wa jimbo la New South Wales, ameomba msamaha jumuiya ya wayahudi baada ya video inayo zungushwa mtandaoni, kuwaonesha wauguzi wawili w…

1 year, 5 months ago

Short Long
View Episode
Dkt Damacent afunguka kuhusu umuhimu wakuwafanya vipimo vya tezi dume

Wanaume mara nyingi hujipata katika hali tata kiafya kwa sababu ya kuchelewa kuchukua hatua zinazo faa kupata huduma.

1 year, 5 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 11 Februari 2025

Kundi maarufu la madaktari limezindua mpango mpya kabla ya uchaguzi mkuu, kundi hilo limesema lita hakikisha upatikanaji kwa huduma yama GP kwa bei n…

1 year, 5 months ago

Short Long
View Episode
Jinsi ya kuandaa ombi la kazi

Unapo ona tangazo la kazi linalo kuvutia, kuelewa hatua zinazo fuata ni muhimu.

1 year, 5 months ago

Short Long
View Episode

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us