Episode Details
Back to EpisodesTaarifa ya Habari 13 Februari 2025
Published 1 year, 5 months ago
Description
Waziri wa Afya wa jimbo la New South Wales, ameomba msamaha jumuiya ya wayahudi baada ya video inayo zungushwa mtandaoni, kuwaonesha wauguzi wawili waliokuwa wakitoa vitisho kwa wagonjwa wenye asili ya Israel.